BARAZA LA WILAYA YA MAKUENI
RUWAZA
Tunatazamia kuwepo na jamii isiyo na umasikini.
MAAZIMIO
Tupo kuendeleza mfumo endelevu wa uchumi Jamii kwa kutoa huduma tegemevu, bei zifaazo na huduma bora faavu kwa mazigira ya watu wa eneo la Makueni.
WAJIBU
Utaalamu wa kazi, ubunifu na elimu endelevu, ushirikiano na utangamano wa kikazi, matokeo bora ya kazi na kuboresha uongozi.
|
|
HUDUMA TUNAZOTOA
|
JUKUMU LA WATEJA WETU
|
MALIPO YA HUDUMA
|
MUDA WA HUDUMA KUTOLEWA
|
|
1.
|
Jutoa lezeni za biashara
|
Kulipa lezeni kwa wakati ufaao
|
Kulingana na ratiba namba 9
|
Siku kumi na nne (14)
|
|
2.
|
Kutoza ada kwa wauzaji katika masoko
|
Kulipa ada kwa lango la soko
|
Kulingana na notisi katika gazeti la serikali ya mtaa
|
Siku za soko/wakati wa soko
|
|
3.
|
Meza ya huduma kwa wateja
|
Nyakati za kazi
|
Hakuna ada
|
Kwa dakika tano (5)
|
|
4.
|
Majobu ya simu
|
-
|
Hakuna ada
|
Kwa milio mitatu ya simu
|
|
5.
|
Malipo ya huduma zozote kwa baraza
|
Kutoa kamili na sahihi
|
Kulingana na notisi katika gazeti la serikali ya mtaa
|
Kwa dakika tano (5)
|
|
6.
|
Kuhidhimisha usajili wa shule
|
Kujaza fomu za usajili na kukabilisha
|
Elfu nne (4,000/=)
|
Siku thelathini (30)
|
|
7.
|
Mazingira:
(a) Usafi wa masoko na barabara za miji
(b) Kuzoa pipa za taka
(c) Kuokota taka
(d) Usafi wa vyoo vya umma
|
Kufuata sheria za baraza
Kufuata sheria za baraza
Kufuata sheria za baraza
Kufuata sheria za baraza
|
Hakuna ada
Hakuna ada
200/= kwa mwaka
Hakuna ada
|
Siku moja
Kila juma
Kila juma
Siku moja kabla na baada ya siku za soko
|
|
8.
|
Kutunza barabara
|
-
|
Hakuna ada
|
Endelevu
|
|
9.
|
Ramani ya mji:
(a) Kuhidhinisha ramani
(b) Mauzo ya kumbukumbu
(c) Kushughulikia cheti cha idhini, kuhidhinisha mabadiliko ya wenye ploti na ugawanyaji
|
Kutoa habari kamili na sahihi
Rekodi
|
Kulingana na notisi katika Gazeti la Serikali ya mtaa
Kulingana na notisi katika Gazeti la Serikali ya mtaa
Kulingana na notisi katika Gazeti la Serikali ya mtaa
|
Siku thelathini (30)
Dakika ishirini (20)
Siku moja (1)
Siku thelathini (30)
|
|
10.
|
Kuanzisha miradi
|
Kuangalia na kutoa ripoti
|
Hakuna ada
|
Kulingana na ruzuku ya mwaka
|
|
11.
|
Kupokea kwa barua na kujibu
|
-
|
Hakuna ada
|
Siku kumi (10)
|
|
12.
|
Ununuzi wa bidhaa na huduma kwa njia shindani na uwazi
|
-
|
Hakuna ada
|
Endelevu
|
Tunapatikana kwa anwani:
S.L.P. 78 – 90300
MAKUENI.
SIMU: 044-33329 Nukulishi: 044-33391
Mdahilishi: makuenicounty@yahoo.co.ke
Mwongozo wetu: Umoja ni nguvu
Falsata: Huduma bora ni haki yako